SHOGA WA KIUME ANATAKA KUNIHARIBIA NDOA..MSAADA JAMANI

Sikiliza Wasafi FM Popote Duniani Kwakuinsta App Yao Hapa
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.

Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa


Msaada please nimuepuke huyu jamaa
Sikiliza Wasafi FM Popote Duniani Kwakuinsta App Yao Hapa