Unaambiwa Diamond Platnumz Anaogopa Kuoa MAPEMA kwa Hofu ya Kupoteza Mashabiki Wake wa kike

Sikiliza Wasafi FM Popote Duniani Kwakuinsta App Yao Hapa

Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
Sikiliza Wasafi FM Popote Duniani Kwakuinsta App Yao Hapa