Sikiliza Wasafi FM Popote Duniani Kwakuinsta App Yao Hapa
Wanawake wengi wanakawaida ya kupika chakula kizuri siku za sikukuu, hapo ndio anajitahidi kutumia uelewa wake wote katika kupika ili tu aonekane na majirani na si mumewe, au siku akisikia mume anakuja na mgeni au rafki yake ndio unataka upike vizuri, hilo si jambo jema.
Jitahidi kumpikia mumeo kila siku chakula kizuri, mvutie mumeo kwa chakula chako, mfanye kila anapopata muda wa mapumziko kazini arudi nyumbani kula. Utundu wa mwanamke unaanzia jikoni
Sikiliza Wasafi FM Popote Duniani Kwakuinsta App Yao Hapa